Вход на сайт

Просмотр новости

Найдите то, что Вас интересует

Lissu mahakamani leo

Дата публикации: 26-08-2026 13:53:20



Основное содержимое страницы с новостью.

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, akiteta jambo na askari wa Magereza wanaomlinda katika kizimba cha Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Agosti 26, 2026, baada ya shauri la kesi ya uhaini linalomkabili kurejea kusikilizwa. Picha na Said Powa.

Photo: 2/5   

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, akitaniana na wafuasi wa chama hicho baada ya kutoka katika kizimba cha Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Agosti 26, 2026. Picha na Said Powa.

Photo: 4/5   

Isakari Ngoma (mwenye rasta) kutoka Moshi, Kilimanjaro, akiwa pamoja na wanachama na wafuasi wa Chadema, leo Jumatano, Agosti 26, 2026, walipojitokeza katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Picha na Said Powa.

Схожие новости

#Наименование новостиТональностьИнформативностьДата публикации
1Lissu mahakamani kesi ya uhaini01017-08-2026
2Lisa Caldwell01030-07-2026
30020-08-2026
40019-08-2026
50012-03-2026
60024-10-2018
70008-09-2026
80005-05-2026
90005-05-2026
100029-04-2026

Классификация: Пресс-релизы. Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 0. Информативность: 10. Источник: www.mwananchi.co.tz.