Shule 18 nchini zimeingizwa katika mpango wa mwaka 2026 wa kuhamasisha unywaji wa maziwa, unaolenga kuongeza uelewa wa wanafunzi kuhusu umuhimu wa maziwa katika lishe bora, afya na ukuaji wao.